JINSI YA KUPATA STATUS YA MTU YEYOTE BILA YA WHATSAPP GB WALA APPLICATION YOYOTE


Kama tunavyo jua sasa hivi kuwa whatsapp GB,DELTA GB na modes zote za whatsapp zimekuwa out of dated na whatsapp yenyew hali hii inatulazmish kutumia WHATSAPP MESSENGER  ambayo haina sehemu ya kusave statuses za wa2 ila sulution lipo sasa.Guys njia hii naimani itakusaidia leo hii naenda kuelekeza ni kwa namna gan utaweza kupata status bila ya kumuomba muhusika .
Unatakiwa kufata hafua zifuatazo ili kuweza kufanikisha hilo

  1. Uwe na WHATSAAP MESSENGER KWENYE CM YAKO ambayo tiyar ushaifungua na unaweza kuona statuses za wa2 
  2. Hakikisha umefungua mpak ifunguke kabisa statuses ambayo unataka uipate kwenye cm yako bila ya kumuomba muhucka
  3. Ingia kwenye file manager ya cm yako kisha tafuta sehemu ya setting ya file manager yako kisha kitufe kilichoandikw SHOW HIDDEN FILES tia tiki/washa
Ingia kwenye INTERNAL STORAGE kisha ingia kwenye Folder la WHATSAPP kisha ndani ya folder la WHATSAPP tafuta folder la MEDIA ndani yake utaona folder limeandikw .STATUSES  Ingia humo ili uweze kuona statuses za wa2 ambazo ulishazifungua kwenye whatsapp yako

    zingatia:whatsapp ambayo haijaifungua au umeifungua nusu haitaonekana

    Kwa maoni ushaur au swali lolote dondosha COMMENT yako hapo chini Ahsanteni.

    Post a Comment

    0 Comments